Ukiona ishara hizi jua computer yako ina virus

mwanajamii26

Member
Dec 16, 2014
58
13
Nadhani neno computer virus si jambo geni kwako. na kama unatumia computer basi utakuwa tayari umeshakutana nao. kuna njia nyingi sana ambazo virus huthumia ili kuingia kwenye kifaa chako baadhi ya njia hizo ni
Kupitia internet
kupitia kushare kwa external drives

Lakini virus hawa hawaoekani kwa macho wanapokuwa wameingia kwenye computer ila kuna ishara zinazo ashiria uwepo wao kwenye computer. Ishara hizo ni hizi zifuatazo

MATATIZO KATIKA HARDWARE ZA KOMPUTER
Endapo utaona baadhi ya hardware za computer yako tofauti na zinavyo takiwa kufanya basi jua kuna uwezekano mkubwa wa computer yako kuwa imeathiriwa na virus. kwa mfano kujifungua na kujifunga kwa mlango wa DVDs/VCDs mara kwa mara. au kama umeunganisha printer kufanya kazi bila kuruhusiwa, hard disk kupiga kelele pale unapo kuwa unafanya kazi kwenye pc yako.

BAADHI YA HARDWARE KUACHA KUFANYA KAZI
Ishara nyingine inayo ashiria kuwa computer yako ina wadudu ni kuacha kufanya kazi kwa baadhi ya hardware. kwa mfano mouse kushindwa kufanya kazi, keyboard kushindwa kufanya kazi, yaani kila ukijaribu kutumia keybord au maose hakuna kinacho fanyika.

COMPUTER KUWA SLOW
Endapo computer yako inachukua mua mrefu katika kutekeleza jambo wakati una RAM na processor ya kutosha hii pia inaweza ikawa ni kutokana na uwepo wa virus. kwa mfano pale unapo jaribu kufungua PDF file na computer kuchukua muda mrefu ili kufanikisha hilo basi jua kuna uwezekano ukawa na virus kwenye computer yako

KUWA SLOW WAKATI WA KUWAKA
Ukiona computer yako inachukua muda mrefu kuwaka wakati processor na RAM zako ni kubwa na zina uwezo wa kutosha basi jua una wadudu kwenye computer yako. hapa wengi hutumia tab key ili kuharakisha pc kuwaka lakini kwa kuwa kuna wadudu inaweza ikagoma kufanya kazi

WINDOWS KU CRUSH
Computer inaweza kuwa na hali ya ku crush na hivyo kuzima na kujiwasha tena. endapo tatizo hili linatokea mara kwa mara ni dhahiri kuwa computer yako ina wadudu

KUPOTEA KWA BAADHI YA MA FILE KWENYE COMPUTER
Inapo tokea ukagundua kuwa katika computer yako kuna mafile hayaonekani basi jua kuwa mafile hayo yameliwa na wadudu. mfano docment files kupotea bila wewe kuaifuta

KUONGEZEKA KWA FILE ZA ZIADA
Endapo utaona kuna file za ziada zimeongezeka kwenye computer yako ambazo sio za zako jua una wadudu kwenye computer yako. mara nyingi hizi ni file zinazo zalishwa na wadudu
pili kuongezeka huku kwa file za ziada kunaweza tokana na kitendo cha file ulizo kuwa nazo kutengeneza shortcut files zake.

DISK AU DISK DRIVES KUTOKUONEKANA
Ukiona Disk au Disk Drives hazionekani hii inamaanisha umepoteza connection kati ya software na hardware zako na hii husababishwa na uwepo wa virus kwenye computer yako. hii pia inaweza ikawa ni pamoja na CD ROOM kushindwa kusoma CDs au DVDs

UJUMBE KWENYE COMPUTER YAKO
Kama una wadudu kwenye computer yako unaweza kupokea ujumbe kupitia notification bar ya computer yako ukikuonesha kuwa computer yako imeathiriwa na wadudu.

HITIMISHO: kuna ishara nyingi sana zinazo ashiria kuwepo kwa wadudu kwenye computer yako lakini hayo ndo basic na yanajitokeza sana.
unachotakiwa kufanya baada ya kuona haya ni kuweka antvirus au kama una antivirus na bado unaona hizo ishara unatakiwa ku update huyo antvirus wako au weka mwingine

Mwandishi: Mwanajamii
 
Good Topic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom