Photo Editor ipi nzuri kuweka katika PC

apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
709
568
Habari wakuu, naomba kujua photo editor ambazo ni za bure na ni nzuri kuinstall katika PC.

NAWASILISHA
 
gimp
gimp-19.jpg

download
GIMP - Downloads
 
Same to me nahitaji program ambayo inatumika ktk kuandaa photo entry za baraza la mtihani msaada wadau na wataalam
 
habari wakuu, naomba kujua photo editor ambazo ni za bure na ni nzuri kuinstall katika PC
NAWASILISHA
Nzuri n adobe photoshop cc5 size yake sio kubwa n mb 500 ivii...
Ina effect nzur, filter za ukweli na una weza tengeneza cartoon yako kama avater yangu unavo ionaa nime jikatunika
 
Asanteni wadauu MUNGU awabariki kwa ushauri mzuri, na YESU ANATAKA MUOKOKE
Ubarikiwe pia na Bwana Yesu, majira ya Mungu yakifika hata kwa nguvu tutaokoka maana sio sisi tunamchagua yey ndo anatuchagua
 
Nzuri n adobe photoshop cc5 size yake sio kubwa n mb 500 ivii...
Ina effect nzur, filter za ukweli na una weza tengeneza cartoon yako kama avater yangu unavo ionaa nime jikatunika
Nzuri n adobe photoshop cc5 size yake sio kubwa n mb 500 ivii...
Ina effect nzur, filter za ukweli na una weza tengeneza cartoon yako kama avater yangu unavo ionaa nime jikatunika
Nimejaribu ku download adobe Photoshop cs3 lakin faili linagoma kuinstall limekuja Mfumo wa zip sasa hapo nifanyeje ili likubali
 
Nimejaribu ku download adobe Photoshop cs3 lakin faili linagoma kuinstall limekuja Mfumo wa zip sasa hapo nifanyeje ili likubaliwa.
1. photoshop sio bure

2. kufungua zip right click hilo file halafu chagua extract litafunguliwa na kuekwa kwenye folder ndio uweze kuinstall
 
Chief nimeinstall GIMP mpaka mwisho ikaniambia finish cha ajabu icon siioni kwenye desktop (screen)
cheki kwenye start au isearch au nenda kwenye program files then ifungue au kama unataka ikae kwenye desktop right click halafu nenda send then desktop
 
Back
Top Bottom