wakati windows rt inatoka kuna watu kama wewe walisema maneno hayo hayo tablet ni za android na ios (ipad) tu, baadae windows rt ikamezwa na win 10 na sasa hivi ukiuliza tablet nzuri sokoni mtu yoyote mwenye akili atakwambia ni surface pro 3 au 4 au surface book, even ipad pro inaonekana toy mbele ya surface na oem wa android kama samsung, huawei, alcatel, xiaomi na wengine wengi high end tablet zao zinarun windows na sio android.Ovyo kabisa, waambieni microsoft waachane na OS za mobile, yeye ajikite tu kwenye pc/laptop.
Mobile amwachie Android.
Ovyo kabisa, waambieni microsoft waachane na OS za mobile, yeye ajikite tu kwenye pc/laptop.
Mobile amwachie Android.
vipi mkuu, naona sijamention android sehemu yoyote ile kwenye post yangu, na ndio nimetumia windows, android, iOS, na windows is my least favorite, nilivyosema pale juu kua "beauty is perception" maana yake wewe unaweza ukaiona windows UI ni nzuri, ila in my case nikaiona ugly, au the other way around. Ambacho sipendi kuhusu windows ni almost everything, hata app store yake haina apps nazohitaji.Umeshawahi tumia simu za windows phone.?, Nini Kizuri ukionacho wewe katika android ambacho kinaizidi Windows phone.?
Ovyo kabisa, waambieni microsoft waachane na OS za mobile, yeye ajikite tu kwenye pc/laptop.
Mobile amwachie Android.
Naona hawa jamaa awakati tamaa tu na kujaribu kutake over the smartphone market.. Lakini ios na android ni miziki mingine sio kama enzi zile walikuwa wanashindanaga na blackberry OS na Symbian.. Lakini big up mtashika #3 hadi mchoke.
Kwenye ranking za Smartphone Market shareWP itashika namba 3 katika nini boss.? Mauzo, Kupendwa ama nini.?
Yani hapo Mwanzo mwisho naona ni copy and paste tu Lock screen (Android), Notification shade (Android)... Sababu ya kutouza sana hawa jamaa nii hichi kitu Hawana INNOVATION wao kazi yao nikuiga..Nadhani ungekuja na vivid example ya huo uovyo unaouziungumzia wewe.
Hebu cheki tena hii view step by step.
1. Simu ukipewa ikiwa locked inakuwa hivii.
View attachment 327997
2. Ukishaifungua unakutana na home screen ya namna hii.
View attachment 327998
3. Ukiwa hapo unaweza anza access app, kama uliipin katika start. Kama haipo inabidi uswap home screen kuelekea kushoto. Napo utazikuta program zako kama hivii. ( Nimekuwekea Black, na whie themes.. uchague ipi inakuvutia.)
View attachment 328000
View attachment 328001
4. Ukitaka badili settings zako za simu ingia katika settings, napo utakutana na haya.
View attachment 328003
View attachment 328004
5. Say imeingia text. Itapop up juu kama notification. Ukitaka kuiaccess kwa haraka , unaswap tile toka juu kwenda chini kama hivii.
View attachment 328005
View attachment 328006
6. Say unataka cheki phone specs. Nenda katika settings. na huko itaonekana hiviii.
View attachment 328007
View attachment 328008
Just like that. Simple, Perfect and neat view.
Ukiachana na hayo. Ukija katika perfomance, Windows phone na Android phone of the same specs. Android phone itasubiri kwa windows phone. Hili halina ubishi. WP zipo smooth katika operation than Android phones.
Karibu katika ulimwengu wa Window phones boss. Hutojutia.
CC: Chief-mkwawa.
Kwenye ranking za Smartphone Market share
Kwenye ranking za Smartphone Market share
kama hujatumia maemo/meego usimake claim yoyote kuwa wp imecopy android sababu android vitu kibao imecopy toka os nyengine hasa symbian/meego/maemo. android sio original vitu vingi ni copy and paste ya os nyengineYani hapo Mwanzo mwisho naona ni copy and paste tu Lock screen (Android), Notification shade (Android)... Sababu ya kutouza sana hawa jamaa nii hichi kitu Hawana INNOVATION wao kazi yao nikuiga..
Hii ndio sababu watabaki kushika mkia
Nakubali hapo hata sibishi kwamba kwenye opening na closing apps Windows 10 ni faster kuliko android 6.0 lakini that's it kwenye number of features na customization plus innovation Android ipo kwenye level nyingine..Hizo ni data tuu. Kimauzo android ipo juu ya WP. But kiperfomance WP imeiacha Android mbali sana. kuprove hili, wewe mwenyewe tafuta WP na Utafute android zenye specs sawa halafu ufeel test zake na urudi kutupa jibu. By the way unapozungumzia android unajumuisha mpaka wakina Tecno, Bird, n.k na nyingine mpaka brand name hazina.
Hizo ni data za mauzo tuu. Kimauzo android ipo juu ya WP. But kiperfomance WP imeiacha Android mbali sana. kuprove hili, wewe mwenyewe tafuta WP na Utafute android zenye specs sawa halafu ufeel test zake na urudi kutupa jibu. By the way unapozungumzia android unajumuisha mpaka wakina Tecno, Bird, n.k na nyingine mpaka brand name hazina.
Naomba unionyeshe feature kwenye Android (lollipop au Marshmallow) ambayo imekuwa copy and pasted from Meego/meemo/Symbian.. Maana najua kuwa every OS copies but nataka tuongelee latest iteration za operating systems kilicho ibwa?kama hujatumia maemo/meego usimake claim yoyote kuwa wp imecopy android sababu android vitu kibao imecopy toka os nyengine hasa symbian/meego/maemo. android sio original vitu vingi ni copy and paste ya os nyengine
Nakubali hapo hata sibishi kwamba kwenye opening na closing apps Windows 10 ni faster kuliko android 6.0 lakini that's it kwenye number of features na customization plus innovation Android ipo kwenye level nyingine..
Na kwenye sales nimefanya kwa kuangalia individual flagship ukiangalia Nexus 6p vs Lumia 950, Samsung s6 vs lumia 950, LG g4 vs lumia 950, Samsung note 5 vs lumia 950 xl n.k utaona android flagship zote zimeuza zaidi ya flagship ya Microsoft
Yani hii Samsung effect ndio imefanya watu wote wa one kuwa android ipo slow mimi nimekubaliana na wewe kwenye hii because nimeangalia speed test nyingi sana online kati ya iPhone 6s, lumia 950 na nexus 6p nakuona kwamba simu hizo zipo fast zaidi kwenye opening apps.Vizuri kwa kukubali hilo. Hicho ndicho mimi nilichoangalia. Usmooth wa simu katika operation. Maana kuna kipindi nilikuwa na Samsung S3, ilikuwa na bloats mpaka ikafikia kipindi kufungua tuu phone book umpigie mtu inachukua zaidi ya sekunde 10. Ukikutana na mtu njiani akakupa namba, Inabidi uwe na pen uandike pembeni.
Then kwa muda wako ukaijaze huko kwenye phone book. Maana kama una haraka ama huyo mtu ana haraka lazima ukawie ukisubiri simu ipop up. Nilikuwa nafanya kazi ya kurestore simu mara kwa mara kuepusha hii kadhia. But with WP, Here i go. with snap of a finger nakuwa nishafungua app.