Nyamulekwetu
Member
- Feb 17, 2016
- 38
- 11
Ninaomba msaada kwenye labtop yangu aina dell,nikiplay musics haitoi saut ila mwanzo ilikua inatoa sauti vizuri tu,inatumia window 7.Shida ya pili ni kwamba ile coursor haitulii inakua inazungunguka yenyewe tu hata km siifanyii kazi,inazunguka tu kwa speed,nina omba msaada tafadhali