Abra One
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 916
- 374
Heri kwenu wanabodi.
Siku za hivi karibuni katika pita pita zangu mitandaoni nikaona hizi machines za kubadilisha/kusaga vitu vya plastic (mostly ni aya masalia ya plastic) kuwa mafuta ya diesel, nilishangaaa sana hivi hii kitu inafanyika kwa aya mafuta tununuayo pale sheli? Mwenye kujua hili tafadhali atupe maarifa zaidi.