Wakuu Msaada kuhusu Shipping ya Simu kuja Tanzania..

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Nimekua nahangaika hadi muda huu naandika post nataka kununua Huawei Nexus 6P from EBay lakini cha ajabu sioni kampuni inayotoa Shipping ya simu hii kuja Tanzania nimekua napata shida sana.

Kwa wale wenye uzoefu naomba unitajie Seller ambaye ni Prime anayeshipp kuja Tanzania

Na pia nauliza hizi online Purchasing Uingereza/ England hawana?
 
uingereza pia wanazo hizo hizo amazon na ebay tumia ila kwenye domain usiweke .com eka .co.uk

ni risk sana kwa hio simu ya bei ghali hakikisha unapata mtu anaesafirisha kwa dhl au fedex na ujiandae kwa kodi. unaweza ukaongea nao hao wauzaji.
 
Poa!
 
Back
Top Bottom