zipo njia nyingi tu.
1. kama una video unaweza kuiconvert kuwa animated gif kuna tools nyingi zinaweza fanya hii kazi just google neno video to animated gif zitakuja website zinazofanya hio kazi ila hakikisha video yako ni fupi ikiwezekana ikate kwanza hata na vlc ili gif yako isiwe kubwa.
2. unaweza ukatumia picha nyingi ukaziunganisha pamoja tumia software kama photoshop au photoscape sababu unaanza photoscape itakuwa rahisi eka picha nyingi zinazofuatana eka na muda utakaotumika kuplay then itatokea animation kama hio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.