jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,755
- 1,566
Wadau habari. nina modem ya hsdpa, iko vizuri kwa kweli na ni multipurpose ila tatizo kila nikitaka kuongeza salio au huduma za vifurushi inaniambia confirm ussd feature, nawezaje kutatua hili tatizo maana hunilazimu nianze kubadili line niungie kwenye simu ndio niweke tena kwenye modem.
karibuni kwa mawazo yenu
karibuni kwa mawazo yenu