PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Simu yangu imekufa system charger na sitaki kuingia gharama za kuipeleka kwa fundi kwa kuwa mwezi ujao nataka ninunue simu nyingine so nilikuwa nahitaji kufahamu kama kuna kobe za kuchajia betry ambayo ina 3000mah angalau inisukume kwa mwezi huu hadi hapo nitakapofanya upgrade... Nmejaribu kutumia hizi kobe za kawaida naona znachukua mda mrefu kujaza betri.. Nahitaj yenye uwezo wa kuchaj betri angalau kwa masaa mawili au matatu coz hii niliyonayo inatumia masaa 6 hadi 8 kujaza betri... Nisaidien plzz