Msaada: Haraka imeniponza

Jamiwak

Member
Jun 6, 2014
26
11
Heshima kwenu nyote,

Poleni na majukumu, kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku unlock..anaejua plz anisaidie.

Samahan kwa usumbufu.
 
Ok..asante...
Nmetafuta cjapata call forwadin..nikibadlisha line nikaweka kwenye Huawei Y330,niifanyeje?

Ingia kwenye phone/call ile sehemu ya kupigia au kuwekea vocha, minya alama ya option ipo kushoto/kulia, fungua call setting utaipata iyo call forwarding
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom