Myangu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 7,676
- 10,599
CHIEF MKWAWA na wengine wajuzi naomba kujua ubora wa simu zifuatazo Sumsang J5 na Sumsang J7
Asanteni
Asanteni
ingia gsmarena utapata kila kitu Samsung Galaxy J7 - Full phone specifications na . Samsung Galaxy J5 - Full phone specificationsBei zake.....na zinapatikana wapi
Bei zake.....na zinapatikana wapi
j7 inaugonjwa fulani wa button ukibonyeza ina zima hata ukiflash haisaidiiKama ww ni mpenzi wa selfie enjoy 5MP......
Kwenye J7