Namna yaku- root sumsang galaxy ace GT-5830i

Feb 22, 2014
25
18
Jamni naombeni msaada ya namna yakuroot simu yangu maana nimejaribu njia nying zimegoma.
Simu inanisumbua coz ina internal space ndogo sana. Its android version 2.3.6 Gingerbread.
Nilishajaribu kutumia files za xda developers na kuinstall adb drivers lakn imegoma. Pia nimeshatumia apps kama kingroot na vroot lkn pia imekataa.
Naombeni msaada watu wangu wa nguvu.
 
Back
Top Bottom