Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
Jaman msaada,,,simu yangu mdogo wangu aliniomba atumie internet kwa facebook,sijui imekuwaje,ameiwekea simy lock kwa parrten,,na hakumbuki alivyoweka,,naomba msaada tafali jinsi ya ku unlock hiyo simu
Jaribu hii link....ufanye hard reset
How to Reset a HTC Smartphone when Locked Out: 4 Steps - wikiHow
Kama kweli simu ni yako...na uliisajil na google account umeshindwaje kuifungua.maana mimi kwa uzoef wangu wa kutumia sim za android ..ikiji lock unaifungua kwa goole account...napata mashaka kama sim ni yako kweli..maana inawezekana ni ya wizi ila umekutana na patern imekushinda..JF umeingiaje sasa au umetumia computer...mhh.? Mawazo yangu tu hayo

Mkuu heshima kwako!! Kwa hii Link hamna simu itakayo survive!!Jaribu hii link....ufanye hard reset