Habari wana jf, naomba msaada wa application inayotafsiri lugha yani kiswa to english yani naandika sentesi ya kiswahili inatafsiri sentesi nzima ama kingleza inatafsiri kiswa hili . mfano a litle angle where are you going, malaika mdogo unakwenda wapi