Maujanja ya Computer (Must read)-No 5: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maujanja ya Computer (Must read)-No 5:

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sizinga, Nov 18, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Baada ya kulimwa ban ya siku kadhaae, leo kwa nguvu na afya tele tuangalie sehemu ya tano ya maujanja, make life ease in that way
  If you have any comment, write down straight ahead nitazijibu, ukizidiwa usiache kugonga 'like'....tuendelee:

  1. Kuondoa autorun.inf virus kwenye computer yako kwa kutumia winrar

  Ujue computer nyingi kama sio zote zinakuwa affected na huyu virus. Huyu Jamaa/virus anaingia automatically kwenye mashine yako kwa kuingiza CD/DVD kwenye computer yako. Mara inapotoka ile pop-up window ukiifungua basi huyu virus anapenya moja kwa moja na kuharibu PC/Laptop yako.
  Huyu virus ana-corrupt drives zote za hard disk zako, na mara nyingi uki-open hiyo drive kwa double-click basi inafunguka window nyingine mpya.
  Ukidoble clik folder badala ya kufunguka lile folder linafunguka kwa window folder jingine. Kesi nyingine ni kwamba huyu virus anafanya baadhi ya mafile yasifunguke sawasawa.
  Muda mwingine hidden file hazionekani due to this fckn virus autorun.inf
  Hope this is clear!!

  Twende
  -Hapa huitaji antvirus wala malware yoyote kuwatoa hawa jamaa.
  -Kwanza ondoa/disable autorun za CD/DVD na USB
  (Right click CDROM icon nenda kwenye properties-disable)
  -Fungua winrar.exe(hapa lazima hii winrar uwe nayo, computer nyingi inazo)
  -Hapa Start–>All Programs–>WinRar–>WinRar.exe).
  -Sasa hapa browse drive iliyokuwa affected na autorun.in kwa kutumia winrar explorer
  -Hapo utaziona hidden files zote kwenye hilo drive
  -Angalia file za autorun.inf na right click fungua kwa notepad.
  -Sasa katika autorun file utaona .exe file ambazo zinafunguka kwa autorun files
  -Sasa hao .exe file ndio haswa madubwasha yenyewe ya kuyaondoa.
  Jinsi ya kuyaondoa.
  -Chukua karatasi na ziandike .exe files zote unazoziona katika autorun.inf file, badae close hilo file.
  -Sasa nenda kwenye drive yako(labda C),halafu delete hizo .exe zote along with autorun.inf
  -Restart mashine yako. Your done.

  2. Kulock folder yoyote kwa XP bila kutumia software.

  Wale watu wenye mambo yao yale....basi unaweza kuweka mambo yako kwenye folder halafu ukalilock au kulificha kabisa na mtu yeyote zaidi yako hataweza kuwa na access nalo, wala kwenye hidden files/folder halitaonekana. So you can put it so safe:
  Kivipi...twende:
  -Tengeneza folder lako kwenye desktop C drive na rename kama 'abc'..bila quote.
  -Fungua command prompt kwenye Start=>Run, hapo andika "attrib +s +h C:\abc"..bila quote.
  -Gonga enter.
  -Hiyo command itafanya folder lako lisionekane(invisible) hata kwa hidden files.
  -Kufanya hilo folder lionekane(visible) rudia hiyo process.
  -Kwenye run andika "attrib -s -h C:\abc"..bila quote.
  Unaweza kufanya hiyo kitu kwenye drive yoyote ile, sio lazima iwe C drive.
  Kushney.


  3. Kuweka picha kwenye folder background.

  Window XP ndiyo inatumiwa na users wengi na hapa unaweza kulifanya folder lako liwe na picha yako kwa nje na kufanya watu wengine washangae, balada ya kuonekana folder icon inaonekana picha yako, ukiigonga inafungua files za ndani.
  Ni nzuri just for visualize and appearance. So twende sasa.

  -Fungua folder ambalo unataka picha yako ionekane as background, hakikisha kila files zionekane kwenye hilo folder
  -Kuhakikisha hilo fanya hilo, fanya hivi .Nenda kwenye Start > Control Panel > Folder Options > View tab, pale kwenye "Hidden files and folders" tia tick hii "Show hidden files and folders" .
  Halafu hapa ondoa tick kama ipo "Hide protected operating system files (recommended)"
  -Hapo ndani ya hilo folder lako hakikisha kuna kifile kidogo kinaitwa "desktop.ini".
  -Kama halipo usikonde, fanya hivi. Fungua hilo folder lako(inside) window itatengeneza hilo file kwa ajili yako. Ndani ya hilo folder Right click hiyo empy area=>Properties > Customize tab > Click "Customize" button > hapo chagua normal folder icon, Apply, OK. Hapo litajitengenza hilo file.
  -Sasa hilo ndilo file tunalolihitaji. Ukiliona lifungue, halafu ongeza hii mistari hapa chini:


  [ExtShellFolderViews]
  {BE098140-A513-11D0-A3A4-00C04FD706EC}={BE098140-A513-11D0-A3A4-00C04FD706EC}
  [{BE098140-A513-11D0-A3A4-00C04FD706EC}]
  IconArea_Image=C:\My Folder Background.jpg

  -Sasa hapo edit huo mstari wa mwisho (IconArea_Image=C:\My Folder Background.jpg) iwe path ya picha yako ulipoiweka.
  Au njia rahisi hapa ichukue picha yako right click nenda kwa properties hala itakuonyesha location ya picha yako, then pale kwenye C: badilisha weka location ya picha yako(hope this is clear).
  -Save file lako na lifunge(close it). Then refresh....utaona image yako ipo kwenye hilo folder.
  -Usiopoiona nenda kwenye view halafu gonga thumbnail.
  Kwisha.


  Kwa leo tuishie hapo. Ijumaa njema members.
  Mada zilizopita gonga
  hapa


  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  pamoja mkuu,sasa yale maujanja mengine no 1 mpaka ulipoishia last week ungeyaweka pamoja mkuu,nimeyatafuta lakini siyapati
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Hembu cheki mstari wa mwisho kabisa, nimeweka link
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  good post
   
 5. HT

  HT JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  shukran Sizinga ila kuna correction kidogo ktk autorun.inf. Hili ni faili linaloelekeza OS ifungue faili gani cd au USB drive inapoungwa ktk computer. Virus wengi hulishambulia na kuwe illegitimate entry zao na unajua kinachofuata, ukiweka tu USB/CD OS automatically ina execute hilo faili na linakuwa ni virus.
  Hilo la kubadili attribute kuna kitu inaitwa attribute changer kwa wale walio allergic na command prompt
  Otherwise bigup!
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Ok nice!!
   
 7. marregal

  marregal Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  impressing and nyc 1..:poa
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu wa Maujanja ya Computer Puma wako naona anatak akumla Mtu huyooooooooooo
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu Thank U. Its a useful post
   
 10. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kujuta kuwa jf member.
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Ngoja MODS akulime ban uone adha yake!!
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Wacha uoga bana...ngoja nibadilishe basi:juggle:
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  :washing:Kivumah umepotea sana bana....niaje boy??:canada:
   
 14. sinforosa

  sinforosa Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, elimu haina mwisho.
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,919
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Waoh...me....know....u...today
   
 16. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  sawa sawa mkuu
   
 17. jbjb

  jbjb Member

  #17
  Feb 28, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 72
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  K
   
 18. zabron k

  zabron k JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2016
  Joined: Nov 11, 2015
  Messages: 406
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 80
  good
   
 19. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2016
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  big up sizinga, nimepitia post zako zote za series za maujanja, nadhani zipo 5.nimejifunza mengi lakini la pekee tofauti na wadau wengine, wewe unakubali sana kukosolewa, yaani ukiambiwa hapa ni hivi unakubali, tofauti na wengine, yaani wakianzisha uzi afu akosolewe inakuwa ni shida.
  mi nilichofanya nimeconvert na kusevu kwenye pc yangu for future use. be blessed man
   
 20. mathsjery

  mathsjery JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2016
  Joined: Sep 26, 2015
  Messages: 514
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Shida niliyonayo wakuu ni pc yangu tangu nilipoinunua niliweka window 7professional ilikuwa poa tu lakini baadae nilona kama inaload kwa muda mlefu baada ya kuweka software za kudownload nyingi kutoka softonic na cnet nikafikiri kuwa ni virus nikapunguza software lakini ishu ikawa vile vile ikanibidi nikaweke window 7 upya pc ikakubali ikafanya vizuri siku moja nilikuwa nafanyia usafi nikafungua cd rw drive nikatoa halafu hard disk nikatoa nikiwa hii nilikuwa najaribu nione nitakapokuwa narudisha kifaa kimojakimoja nawasha pc ili niju jinsi vinavyotegemeana mwisho nirudishia vizur ikafunction vizuri lakin siku flani nilwasha ikawa inaonyesha imewaka ila display ni giza tu halafu fan onashishitua nikapeleka kwa jamaa flani ananiambia processor na harddisk vimeharibika kuvitoa kaweka vyake na akaweka window ikawaka lakini sikukubali nikachukua hdd na processor yake 2.6ghz wakati hdd yangu ilikuwa 500gb nikarudishia nikaenda weka w7 profession ikafunction lakin haikuwa genuine basi inatatizo ili linanisumbua kila mara uki click program inasema this pc not responding najiuliza nitatatuaje hii kitu pc yenyewe ni HP ELITEBOOK 8460P
  PROCESSOR 2.6GHZ
  HDD 500GB
   
Loading...