Kutumia laptop kwa v12 dc battery

Kutumia laptop kwa v12 dc battery

abuusamira

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
29
Reaction score
5
habari za mapumziko ya wiki wanajukwaa. Nina betri ya solar ya volt 12,kwa kuwa pia laptop zinatumia mfumo wa dc ,nawezaje kutumia bila ya inverter?msaada tafadhali
 
habari za mapumziko ya wiki wanajukwaa. Nina betri ya solar ya volt 12,kwa kuwa pia laptop zinatumia mfumo wa dc ,nawezaje kutumia bila ya inverter?msaada tafadhali[/QU
HIvi hiyo kitu inawezekana ee! kama ka idea kanakuja, ngoja wataalamu wa umeme waje watupe ujuzi wao
 
Unataka umunanishe kwenye chaji au wap. Kama kwenye chaji haitawezekana input ya chaj inapokea ac v110-220
 
Soma specifications za adapter yako mkuu, Then angalia hio batery ni N ngapi zidisha na volts upate power kisha soma power rating ya laptop yako. .!
 
Ahsante mkuu kwa mchango wako,nilikuwa namaanisha kutumia betri ya sola kama mbadala wa betri ya pc,na si kwa kutumia ile adapter ya volt za umeme mkubwa
 
Soma specifications za adapter yako mkuu, Then angalia hio batery ni N ngapi zidisha na volts upate power kisha soma power rating ya laptop yako. .!
Soma specifications za adapter yako mkuu, Then angalia hio batery ni N ngapi zidisha na volts upate power kisha soma power rating ya laptop yako. .!
Soma specifications za adapter yako mkuu, Then angalia hio batery ni N ngapi zidisha na volts upate power kisha soma power rating ya laptop yako. .!
Soma specifications za adapter yako mkuu, Then angalia hio batery ni N ngapi zidisha na volts upate power kisha soma power rating ya laptop yako. .!
Soma specifications za adapter yako mkuu, Then angalia hio batery ni N ngapi zidisha na volts upate power kisha soma power rating ya laptop yako. .!
shukran mkuu, adapter yangu inaniambia input 100v -240v. na output ni15v na 5A. pc yenyewe ina 5 A. na 15v. ama kuhusu hii betri yangu ni 18AH.
 
habari za mapumziko ya wiki wanajukwaa. Nina betri ya solar ya volt 12,kwa kuwa pia laptop zinatumia mfumo wa dc ,nawezaje kutumia bila ya inverter?msaada tafadhali
Yah inawezekana Mkuu kwa kutumia power adapter ya laptop ambayo inatumia umeme wa dc 12V,binafsi nnayo nliagiziaga China maana Kariakoo wanauza bei mbaya..kwa bahati mbaya skuwah kuitumia toka ije maana sina Source ya dc so waweza nichek kama itakuwa compatible na Laptop yako nikuachie kwa Hela kdogo
 
mkuu olsea, hiyo kitu yaweza kufika hela ngapi?
 
Hutaweza kutumia direct solar battery yenye 12v to charge ur pc kwasababu most of laptop znaanzia 15v and above so huwez kuitumia hyo ......labda uwe na cigarrete lighter adapter za kwenye gar zile znaweza kutumika hapo kwasabab znaweza ku convert 12v ya battery yako to 14.5v and more na zna work vzur tuu ...
 
mkuu olsea, hiyo kitu yaweza kufika hela ngapi?
Mara ya mwisho Kariakoo waliniambia elfu 55,mimi nlinunua Mtandaoni nje haikuzid hata elfu 30..ni nzur maana unatumia hata na Battery ya Gari na uzuri ni kwamba unatumia kwa aina yoyote ya Laptop maana unapewa na kila aina ya pin ya kuchomeka kwenye Laptop so unachagua wewe tu kutegemea na tundu la kuchajia Laptop yako.
 
Mhh tupe mrejesho mpaka sasa umejifunza nn. Na umeamua nn
 
nimejifunza kuwa inawezekana kutumia dc baada ya kuwa na adapter maalum ya kuziongeza voltage kutoka 12 hadi 15+. na nilichoamua ni kuitafuta hiyo adapter . ahsanteni saaaaaana kwa ushirikiano
 
Back
Top Bottom