Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Wakuu Niko interest sana na inshu za Taa au mifumo ya Taa kuanzia upambaji wa taa ktk makumbi au majukwaa sina experience sana na rangi taa safi zinazopendeza ktk kumbi kingine kumekuwa na system ya nyumba kujiwasha taa automatically pale mtu anapopita je hii ni sensor ya aina na ufungaji wake uko vp?