smile said:Smile needs to ensure that all of its Customers, as members of the Smile Community, have fair and equal use of the services. It also has the right to protect the integrity of its network. Smile therefore reserves the right to take reasonable steps to prevent improper or excessive usage of the network. Smile may amongst other things, limit throughput, and prevent or limit service through specific ports or communication protocols.
Yeah nilivyo kuwa natafuta more info kuhusu hiyo nikasoma ikanishituwa kidogo, ndio maana nikataka kujua hii "excessive usage" kwao ina maana gani.. Ni above 30gb, 50gb, maana 125, 000 ni pesa ndefu kuniwekea cap ya let's say 10gbusage policy
cheki hapa
Smile Usage Policy – Smile – Now you can
lazma baada ya gb fulani watashusha speed
jaribu kuwapigiaYeah nilivyo kuwa natafuta more info kuhusu hiyo nikasoma ikanishituwa kidogo, ndio maana nikataka kujua hii "excessive usage" kwao ina maana gani.. Ni above 30gb, 50gb, maana 125, 000 ni pesa ndefu kuniwekea cap ya let's say 10gb
Mimi ni mteja wa smile(new customer). Ukweli ni huu, hiyo unlimited package ya 125,000/= for 30 days ina limitation ya speed. Utapata high speed up to 25GB. Baada ya hapo wanabana speed(you will get only 0.52Mbps).Habari za siku wakuu, leo hii nilikuwa katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii
Sasa watumiaji wa huu mtandao naomba maelezo kidogo.
Je;
Kweli ni unlimited au ni unlimited zetu za kibongo zile za ukifika *GB flani unapunguziwa speed?
umejaribu kucheki speed ya smart hapo morogoro? kama wana speed nzuri unlimited yao ni ya ukweliMimi ni mteja wa smile(new customer). Ukweli ni huu, hiyo unlimited package ya 125,000/= for 30 days ina limitation ya speed. Utapata high speed up to 25GB. Baada ya hapo wanabana speed(you will get only 0.52Mbps).
Pamoja na hayo, kabla sijafikia kiwango hicho cha 25GB, most of the time max speed nilikua napata 2Mbps. Niko Morogoro(smile network imeingia miezi michache iliyopita).
Speed hiyo ya 2Mbps kiukweli ilikua ina nilimit kuangalia HD contents live streaming. Sana sana ni SD contents ndio nilikua nawatch bila mgando kabla sijafikia hiyo limitation.Bado hawajakidhi haja zangu. Na wako very expensive.
For the time being nimeamua niendelee kubaki Halotel na kifurushi cha 15GB for 35,000/= per month. Ingawa na wao sometimes signal ziko weak.
35,000/= kwa 15GB za halotel afu bado unasema Signal is weak ningeshauri utazame Tigo 4G kuna kifurushi kama hicho nakionaga kwenye Internet portal yao!Mimi ni mteja wa smile(new customer). Ukweli ni huu, hiyo unlimited package ya 125,000/= for 30 days ina limitation ya speed. Utapata high speed up to 25GB. Baada ya hapo wanabana speed(you will get only 0.52Mbps).
Pamoja na hayo, kabla sijafikia kiwango hicho cha 25GB, most of the time max speed nilikua napata 2Mbps. Niko Morogoro(smile network imeingia miezi michache iliyopita).
Speed hiyo ya 2Mbps kiukweli ilikua ina nilimit kuangalia HD contents live streaming. Sana sana ni SD contents ndio nilikua nawatch bila mgando kabla sijafikia hiyo limitation.Bado hawajakidhi haja zangu. Na wako very expensive.
For the time being nimeamua niendelee kubaki Halotel na kifurushi cha 15GB for 35,000/= per month. Ingawa na wao sometimes signal ziko weak.
Kaka huku kwetu niishipo tigo is more worse. 4G yao kwanza ipo town tu. Na 3G nayo iko on off. Kiufupi ni halotel tu ndo wana afadhali. Wengine wote kwa maana ya tigo,voda,airtel ni majanga.35,000/= kwa 15GB za halotel afu bado unasema Signal is weak ningeshauri utazame Tigo 4G kuna kifurushi kama hicho nakionaga kwenye Internet portal yao!
smart mkuu wachekiKaka huku kwetu niishipo tigo is more worse. 4G yao kwanza ipo town tu. Na 3G nayo iko on off. Kiufupi ni halotel tu ndo wana afadhali. Wengine wote kwa maana ya tigo,voda,airtel ni majanga.
Duh, Mkuu sijawahi fikiria kufanya hichi kitu.. Kweli bonge la idea Alafu ni a very cheap alternative.jaribu kuwapigia
mimi kwa 4g natumia gb 90 za tigo kwa miezi 3 kila unaponunua kifaa cha 4g.
nunua modem yao kwa 60,000 chukua gb zako 90 then uza modem kwa bei ya mkononi
Yani inasikitisha sana mpaka leo Tanzania na fibre hizi wanazo pitisha mitaani kila kukicha lakini bado tuna pata limited Internet ambayo ni expensive.kwa kuwacheki juu itakua sio Unlimited kwa maana ya Speed.
Sababu wana 20GB kwa 155,000/=
Itakua wame Set kama 15GB zikiisha wana Cap,Ila katika maelezo ya Unlimited hawaja Specify kama kuna Cap baada ya GB fulani
I think wameamua kukopa Neno Unlimited kwa mitandao ya 3G kwa malengo ya kibiashara na best way nikuwa Call upate msaada zaidi maana ukizubaa ukikulupukia umeisha!
Ahsante mkuu kwa maelezo, dah kweli TCRA wanabidi kusimamia hadi advertising za haya makampuni maana hata awakuweka Unlimited (* T&C) apply.Mimi ni mteja wa smile(new customer). Ukweli ni huu, hiyo unlimited package ya 125,000/= for 30 days ina limitation ya speed. Utapata high speed up to 25GB. Baada ya hapo wanabana speed(you will get only 0.52Mbps).