jimmy fergue
Member
- Jun 15, 2015
- 13
- 5
Natumia Huawei MT1-U06 ina download apps automatically na a lot of ads appers nikiwa naitumia sometimes inaji restart automatically nifanyaje wana jamii forum .
Kama kuna uwezekano iflash kwa os mpya tatizo litaisha, njia nyingine Mara nyingi tatizo linajirudia baada ya mda.Natumia Huawei MT1-U06 ina download apps automatically na a lot of ads appers nikiwa naitumia sometimes inaji restart automatically nifanyaje wana jamii forum .