Ishmael2012
Member
- May 23, 2014
- 58
- 42
Wakuu msaada jinsi ya kuweka windows 7 kwenye computer HP desk top, nimejaribu nimeshindwa inaleta BMR missing
Oohh... Kwan comp yako ina ram ngap? Na processer ngapiWakuu msaada jinsi ya kuweka windows 7 kwenye computer HP desk top, nimejaribu nimeshindwa inaleta BMR missing
Processer ni 2.8ghz na ram ni 4GB HDD 1TBOohh... Kwan comp yako ina ram ngap? Na processer ngapi
Angalia kama Hard disk yako imesoma?Processer ni 2.8ghz na ram ni 4GB HDD 1TB