Msaada samsung Galaxy note kwenye Wi-Fi and tethering

baraka muyabi

Senior Member
Aug 13, 2012
162
58
Habari wana jamvi.. Simu yangu ni Samsung galaxy note2 . nataka kuitumia kama modem katika computer cha ajabu inaniletea "mobile data is not available or invalid SIM" hiyo invalid somu inakuja vipi wakati simcard inasoma vizuri na data zinapanda na kushuka.. Naomba msaada tatizo ni nini CHIEF MKWAWA
 
Mmmh wengi wanatumia tochi....sbr mimi nkusaidie mkuu....hiyo simu itakua mbovu irudishe kwa wauzaji kama uliuziwa kiuhalali ukapewa na warrant mostly 12 month ...unless thnx
 
Embu angalia imei ipo?
Samsung Korea - Samsung SGH-I317 - If phone model is different from what you have, replace your phone before June 2016 as it will be BLOCKED... Hayo ndo majibu ya TCRA baada ya kuweka imei 353800050467980/11
 
Nina maana uki type *#06# imei inaonekana?
 
wenzetu huko nje wana tabia ya kublock tethering huenda hio ni sababu kwa kuanzia nenda playstore download app inaitwa hotspot control ya chainfire uone kama itasolve.
 
Back
Top Bottom