Kama wewe ni programmer wa aina yoyote ingia hapa

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,241
1,794
Jamani mimi ni .wanafunzi wa mwaka wa kwanza Bsc.informatics sokoine univeristy natamani niwe software programmer au software engneer naombeni mnisaidie kujua msingi wa hii programme ikiwezekana nijue vitabu na language mbalimbali ila kwa sasa nimesha maliza language ya c++ pia naombeni link ya vitabu vizuri ahsante
 
Hii ni kwa ajili ya android au mbona inakataa kuwa intalled
 
Jamani mimi ni .wanafunzi wa mwaka wa kwanza Bsc.informatics sokoine univeristy natamani niwe software programmer au software engneer naombeni mnisaidie kujua msingi wa hii programme ikiwezekana nijue vitabu na language mbalimbali ila kwa sasa nimesha maliza language ya c++ pia naombeni link ya vitabu vizuri ahsante

Hujamaliza C++ sema tu umesoma part ya syntax ya C++. Hiyo language ni more powerful than you can imagine in short C++ kama languages nyingine haina mwisho kujifunza.
Ningekushauri uanze kusoma datastructures anza na arrays, linked list, binary trees, general trres, graphs, hashmaps. Soma hizo common structures ujue theory yake vizuri na uweze kuimplement mwenyewe then utarudi.
 
Kwa hiyo c++ inatumikaje huko kwenye softwares au application au game za computer pia nashidwa kutofautisha kati ya software developer na software designer
 
Unaulia hivyo ndio maana nilikwambia hujaimaliza. We endelea kusoma hayo majibu yataingia polepole utajikuta umeanza kuconnect the dots. Sasa hivi mapema sana, it doesnt matter mtu una title gani mwisho wa siku software yoyote ile inatengenezwa kwa programming na ni languages kama C++ hizo ndizo zinatumika. Sasa hivi unaweza usione inakuajekuaje hadi mtu anatengeneza web browser sababu ndio kwanza unajifunza loops. Ukiingia deep kabisa utajua jibu la hayo maswali, swala ni kukomaa tu hamna shortcut.
 
Hujamaliza C++ sema tu umesoma part ya syntax ya C++. Hiyo language ni more powerful than you can imagine in short C++ kama languages nyingine haina mwisho kujifunza.
Ningekushauri uanze kusoma datastructures anza na arrays, linked list, binary trees, general trres, graphs, hashmaps. Soma hizo common structures ujue theory yake vizuri na uweze kuimplement mwenyewe then utarudi.

Aongezee na loops, Functions, na Conditional statements.
 
Unaulia hivyo ndio maana nilikwambia hujaimaliza. We endelea kusoma hayo majibu yataingia polepole utajikuta umeanza kuconnect the dots. Sasa hivi mapema sana, it doesnt matter mtu una title gani mwisho wa siku software yoyote ile inatengenezwa kwa programming na ni languages kama C++ hizo ndizo zinatumika. Sasa hivi unaweza usione inakuajekuaje hadi mtu anatengeneza web browser sababu ndio kwanza unajifunza loops. Ukiingia deep kabisa utajua jibu la hayo maswali, swala ni kukomaa tu hamna shortcut.
Ahsante mkuu
 
Jamani mimi ni .wanafunzi wa mwaka wa kwanza Bsc.informatics sokoine univeristy natamani niwe software programmer au software engneer naombeni mnisaidie kujua msingi wa hii programme ikiwezekana nijue vitabu na language mbalimbali ila kwa sasa nimesha maliza language ya c++ pia naombeni link ya vitabu vizuri ahsante

Joh, kama unataka kuwa software engineer unatakiwa uelewe kuna tofauti kati ya software engineer and software developer au programmer

Katika project software engineer anahusika na kusanya requirements kutoka kwa mteja, kuzifanyia analysis, aje afanye designing (Anatumia modeling languages kama UML na nk) then baada ya hapo anamkabidhi software programmer or developer hiyo documentation then huyo jamaa anaandika codes kutokana na hiyo documentation ya project aliyopewa

Hivyo basi, unaweza ukawa software engineer ila usijue how to write codes ama ukajua

Kitabu hichi ni one of my favorite Software Engineering (9th Edition): Ian Sommerville: 9780137035151: Amazon.com: Books. Kama huwezi nunua nenda bay ukapate copy yako
 
Joh, kama unataka kuwa software engineer unatakiwa uelewe kuna tofauti kati ya software engineer and software developer au programmer
Katika project software engineer anahusika na kusanya requirements kutoka kwa mteja, kuzifanyia analysis, aje afanye designing (Anatumia modeling languages kama UML na nk) then baada ya hapo anamkabidhi software programmer or developer hiyo documentation then huyo jamaa anaandika codes kutokana na hiyo documentation ya project aliyopewao

Acha kumpoteza njia jamaa, hizi software engineer, developer, programmer ni title tu hakuna kingine. They all write the same code kulingana na mtu ana uwezo gani. Ila kusema utaenda kwenye kampuni utegemee kuapply for a job alafu useme nataka software developer sio engineer watakucheka sana, kwenye tech industry they are all the same thing, same interview, same positions, labda kwa wanaosoma history ndio watajaribu kuwaclassify hawa watu watatu tofauti. Na kwenye kampuni kubwa unaapply unajoin a certain team, haimaanishi utaenda kwenye hiyo team kukaa tu na kuongea na wateja na kuwaletea wengine wa-code, wangekua wanatafuta mtu wa hivyo wasingesema wanataka software engineer, developer au programmer, wangesema wanatafuta mtu wa kuongea na clients.
 
Haha we jamaa mtu wa wapi ? Kaa chini usome.

Ngoja nikuambie yafuatayo kutokana na post yako

1. Usipaniki joh, kama hujui uliza

2. Huwezi omba kazi afu useme unataka kufanya nini. Tangazo la kazi linatoka na job description ikiwepo

3. Kama wewe ni professional developer na ushafanya projects, weka mezani procedures na mgawanyiko wa kazi mliotumia kukamilisha kazi yenu

4. Usipofanya la tatu huna point yeyote. Rudi kasome
 
Software Engineer
> Anafanya kazi za ku engineer software. Ana andaa blueprint kisha anajenga software kutokana na hiyo architecture, kisha anafanya quality check (Software testing)
 
Acha kumpoteza njia jamaa, hizi software engineer, developer, programmer ni title tu hakuna kingine. They all write the same code kulingana na mtu ana uwezo gani. Ila kusema utaenda kwenye kampuni utegemee kuapply for a job alafu useme nataka software developer sio engineer watakucheka sana, kwenye tech industry they are all the same thing, same interview, same positions, labda kwa wanaosoma history ndio watajaribu kuwaclassify hawa watu watatu tofauti. Na kwenye kampuni kubwa unaapply unajoin a certain team, haimaanishi utaenda kwenye hiyo team kukaa tu na kuongea na wateja na kuwaletea wengine wa-code, wangekua wanatafuta mtu wa hivyo wasingesema wanataka software engineer, developer au programmer, wangesema wanatafuta mtu wa kuongea na clients.
mkuu ni language gani yenye mashiko na inayopedwa sana hata kwenye kupmba kazi pia ambayo sio toigh me nimeanza na java naomba ushauri wako mkuu
 
jaribu hii application ina fundisha kiuraisi http://kayumba.us.to/?app=learnProgrammingFree&g=1
NI MAWAZO YANGU TUU: Usipende ku-download program unazopewa bila maelezo, kwa maana madhara yanaweza kuwa makubwa kwa kompyuta yako.

Naona hapo juu kuna-flame war.. Software Developer/ Engineer. Kiukweli katika ulimwengu wa leo vitu vyote vinajumlishwa.
Mie ni Software Developer but I can also Engineer Software.
Of course, I can NOT engineer a program to monitor X-ray radiation because I have no idea of such domain. But I can code and develop software if you have the materials for me. So its all the same thing. With time, if you are a developer, you will learn how to Engineer solutions solutions if you are a developer.

Mie ninawazo moja, kwa nini usitafute TEMPO mahali hata ya kutengeneza Excel Sheets au Mini-program? hii itakufanya ujue baadhi ya software solutions zinazotumika and how they were Engineered to solve which challenges. Hapo ndio utaongeza ujuzi wako na uelewa wako wa Software.
Usitafute kazi kwenye stationaries au duka la kuuza product bali kwenye real company. Volunteer tuu bure..
Soma vitabu zaidi ila uwe na malengo, ambalo huwezi kupata lengo hadi uone kazi zinafanyikaje. Usiache kusoma.
Tembelea github and other code repos kuona watu wanafanya nini.

Sijipigii promo, kama una-muda nicheki kwenye PM ninaweza kukusaidia.

Shukrani,
 
mkuu ni language gani yenye mashiko na inayopedwa sana hata kwenye kupmba kazi pia ambayo sio toigh me nimeanza na java naomba ushauri wako mkuu

Mkuu ukiwa unafikiria language ni vizuri kujua language ipi ina fanya vizuri wapi, language nyingi unaweza kuajiriwa kama umezimaster vizuri. Ukiongelea popularity hakuna language inayoshinda Javascript since inatumika kwenye websites client side na toka 2006 inatumika server side kwa framework inaitwa Node.js ambayo ni very powerful. Ila pamoja na huo u-popular, haimaanishi ni language nzuri kwa kila kitu, mfano kutengeneza app kama ya google maps vile, naongelea calculations zinazofanyika backend, achana na unachokiona kwenye website juu juu, huwezi enda na Javascript kabisa kwa kua mbali na kua slow ina some limitations ambazo zinafanya kazi hiyo kua ngumu, ndio maana wanabaki kutumia language kama C++, C au Java kwa kua zina very high performance.

Cha muhimu ni kujua language ipi itumike kwenye nini, kujua language unaweza jua nyingi tu very quick, tatizo ni kujua programming, programming its not about language, its about mastering the logic, ukipewa tatizo uweze kuligawanya na kuhakikisha unali-solve efficiently and very fast. Ndio maana mtu anayesoma mfano Computer science chuoni hatokutana na language miaka yote minne, atakutana na Algorithms, datastructures, data mining techniques, hardware design, computer vision, artificial intelligence, zote hizi ni courses zinazofundisha techniques zinazotumika ambazo ukizijua unaweza kaa ukaanza kutengeneza AI kwa kutumia language yoyote unayojisikia na ikafanya kazi.

Kuanza na java sio mbaya, unaweza endelea nayo, hata hivyo kama utapenda mobile development Java ndio inatumika kwenye android so una uwanja mpana, ila usijilimit language moja, soma angalau languages tatu nne, Javascript iwekemo. Ila cha muhimu kuliko vyote ni master programming and not programming languages.
 
Haha we jamaa mtu wa wapi ? Kaa chini usome.

Ngoja nikuambie yafuatayo kutokana na post yako
1. Usipaniki joh, kama hujui uliza
2. Huwezi omba kazi afu useme unataka kufanya nini. Tangazo la kazi linatoka na job description ikiwepo
3. Kama wewe ni professional developer na ushafanya projects, weka mezani procedures na mgawanyiko wa kazi mliotumia kukamilisha kazi yenu
4. Usipofanya la tatu huna point yeyote. Rudi kasome

Hehehe au sio mkuu. Haya software engineer! kubishana na wewe ni kupoteza muda.
 
Mkuu ukiwa unafikiria language ni vizuri kujua language ipi ina fanya vizuri wapi, language nyingi unaweza kuajiriwa kama umezimaster vizuri. Ukiongelea popularity hakuna language inayoshinda Javascript since inatumika kwenye websites client side na toka 2006 inatumika server side kwa framework inaitwa Node.js ambayo ni very powerful. Ila pamoja na huo u-popular, haimaanishi ni language nzuri kwa kila kitu, mfano kutengeneza app kama ya google maps vile, naongelea calculations zinazofanyika backend, achana na unachokiona kwenye website juu juu, huwezi enda na Javascript kabisa kwa kua mbali na kua slow ina some limitations ambazo zinafanya kazi hiyo kua ngumu, ndio maana wanabaki kutumia language kama C++, C au Java kwa kua zina very high performance.

Cha muhimu ni kujua language ipi itumike kwenye nini, kujua language unaweza jua nyingi tu very quick, tatizo ni kujua programming, programming its not about language, its about mastering the logic, ukipewa tatizo uweze kuligawanya na kuhakikisha unali-solve efficiently and very fast. Ndio maana mtu anayesoma mfano Computer science chuoni hatokutana na language miaka yote minne, atakutana na Algorithms, datastructures, data mining techniques, hardware design, computer vision, artificial intelligence, zote hizi ni courses zinazofundisha techniques zinazotumika ambazo ukizijua unaweza kaa ukaanza kutengeneza AI kwa kutumia language yoyote unayojisikia na ikafanya kazi.

Kuanza na java sio mbaya, unaweza endelea nayo, hata hivyo kama utapenda mobile development Java ndio inatumika kwenye android so una uwanja mpana, ila usijilimit language moja, soma angalau languages tatu nne, Javascript iwekemo. Ila cha muhimu kuliko vyote ni master programming and not programming languages.
Mkuu ukiwa unafikiria language ni vizuri kujua language ipi ina fanya vizuri wapi, language nyingi unaweza kuajiriwa kama umezimaster vizuri. Ukiongelea popularity hakuna language inayoshinda Javascript since inatumika kwenye websites client side na toka 2006 inatumika server side kwa framework inaitwa Node.js ambayo ni very powerful. Ila pamoja na huo u-popular, haimaanishi ni language nzuri kwa kila kitu, mfano kutengeneza app kama ya google maps vile, naongelea calculations zinazofanyika backend, achana na unachokiona kwenye website juu juu, huwezi enda na Javascript kabisa kwa kua mbali na kua slow ina some limitations ambazo zinafanya kazi hiyo kua ngumu, ndio maana wanabaki kutumia language kama C++, C au Java kwa kua zina very high performance.

Cha muhimu ni kujua language ipi itumike kwenye nini, kujua language unaweza jua nyingi tu very quick, tatizo ni kujua programming, programming its not about language, its about mastering the logic, ukipewa tatizo uweze kuligawanya na kuhakikisha unali-solve efficiently and very fast. Ndio maana mtu anayesoma mfano Computer science chuoni hatokutana na language miaka yote minne, atakutana na Algorithms, datastructures, data mining techniques, hardware design, computer vision, artificial intelligence, zote hizi ni courses zinazofundisha techniques zinazotumika ambazo ukizijua unaweza kaa ukaanza kutengeneza AI kwa kutumia language yoyote unayojisikia na ikafanya kazi.

Kuanza na java sio mbaya, unaweza endelea nayo, hata hivyo kama utapenda mobile development Java ndio inatumika kwenye android so una uwanja mpana, ila usijilimit language moja, soma angalau languages tatu nne, Javascript iwekemo. Ila cha muhimu kuliko vyote ni master programming and not programming languages.
nashukuru sana mkuu nimepata technk nzurinl ngoja niifanyie kaz vizur najua nikiwa mzur kusolve problem mbali mbai ntakua poa zaid. mfano nimeambiwa nitengeneze software ya ku control tm daa ngoja nijipange vizur na kumuuomba Mungu naamin nkijua kusolve hzo problem ndo msaloza kazi ivo
 
Jamani mimi ni .wanafunzi wa mwaka wa kwanza Bsc.informatics sokoine univeristy natamani niwe software programmer au software engneer naombeni mnisaidie kujua msingi wa hii programme ikiwezekana nijue vitabu na language mbalimbali ila kwa sasa nimesha maliza language ya c++ pia naombeni link ya vitabu vizuri ahsante
C/C++ sidhani kama inaisha... Huwa kuna concept hata walimu hawazifundishi kama pointers, manual memory management. Yaani mpaka ukaze nazo..
 
Back
Top Bottom