WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
Ingia google tafuta dc-unlocker software, download install kwenye laptop yako. Ifungue ingiza details za hiyo modem utakazotakiwa kuzijaza pale ikiwemo IMEI. Model ya hiyo modem utaikuta pale kama suggestion. Ukimaliza click unlock, modem itakata network ikirudi mambo yameisha! Nimefanya hivyo kwenye modem kama yako 3 years ago nina uhakika 100%.