Jifunze kuhamisha data kutoka excell kwenda program nyingine

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,350
2,054
Habari wakuu.
Kugawana ni kujali.
Ofisi nyingi huwa na data kwenye excell wanahitaji wahamishie kwenye other program ikiwemo tally, vip payroll na pastel.leo nitawafunza.
1. Fungua program eneo la import/ export
2. Bonyesha general ledger export ili ile fomat ya program iende katika excell
3. Panga data zako zilingane na format
4. Save hilo file ukiongeza neno .csv
5. Rudi katika program unayotumia
6. Fungua program eneo la import/ export
7. Safari hii, import
8. Select file ulilosave
9. Tayari.

Kama ukikwama wasiliana nami: 0713-039875
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom