pepe17
JF-Expert Member
- Oct 17, 2007
- 295
- 221
wadau mimi nilikuwa naomba mnifahamishe bei ya broadband kwa mwezi huko nyumbani (kwa matumizi ya kwenye nyumba).
nataka kujua bei kwa mwezi, speed yake ikoje, kama ni fibre optic au normal broadband na utumiaji (yaani kwa bei hiyo ni unlimited use au ni bundle fulani tu ndiyo unapewa). Nimejaribu sana kuuliza watu wa huko nyumbani lakini sipati jibu sahihi.