God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Habari za wakati huu ndugu.
Naombeni wale wataalamu wa laptop watupe elimu kuhusu namna ya kutambua laptop feki iwe dell, hp. toshiba n.k nimekua nikifatilia sana kwa ukaribu lakini sijafanikiwa kupata njia au namna ya kutambua laptop feki. Pia huwa naogopa kununua OS zilizopo kwenye CD badala yake na upgrade digital hii inaniweka huru zaidi nisijepata kitu feki.
Natanguliza shukrani.
cc CHIEF MKWAWA mwl rct njuwa wamavoko etc