Matatizo ya kuchaji Samsung Tab

Matatizo ya kuchaji Samsung Tab

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Kwa nini Tab 4 nikiweka chaji inaonyesha alama ya X na wakati mwingine inachaji fresh tu.

Msaada kwa anayefahamu.
 
Back
Top Bottom