PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Tatizo hili limetokana na kusafirisha hii monitor kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine sasa nadhan ile mitikisiko ya basi tulilokuwa tunasafiria imesababisha kioo cha hii monitor kucrack hadi wino kuvuja... Nikiwasha hii monitor inaonesha black screen tu na mistari mistari ya cracks... Nifanyaje kutatua tatizo hili nisaidien tafadhali