Mkuu kwani ukitazama hapo unaona itazama?Sasa hapo ndio kufanyaje, kwamba bike itakua haizami ukiendesha?
Tia maji tia majiMkuu kwani ukitazama hapo unaona itazama?
kuna indiegogo, kickstarter na kampuni kibao ambazo kama una idea/working prototype unaweza ukaipeleka na watu wakakuchangia hakuna haja ya kulalamikaAfrica ni tajiri Kuna vijana tunagundua vitu vizuri tatzo hakuna support hatuhitaji kufaidika na ugunduzi wetu tunataka support tuboreshe kazi zetu ziwe Msaada Kwa jamii zetu
Asante nitafanyia kazi ushauri wakokuna indiegogo, kickstarter na kampuni kibao ambazo kama una idea/working prototype unaweza ukaipeleka na watu wakakuchangia hakuna haja ya kulalamika
angalia baadhi ya project zilizofanikiwa
http://techloy.com/2014/01/22/12-african-technology-based-projects-successfully-funded-kickstarter
karne hii ya 21 kulalamika kuhusu support ni kisingizio tu ila internet inafanya hata mtu aliepo finland huko kukuchangia wewe