Naomba msaada kwenye azam TV

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
596
183
niko mkoa wa kilimanjaro marangu naomba msaada wa kufunga kingamuzi cha azam nataka nifanye mwenyewe bila fundi
 
Fanya tu mkuu.
Unataka ufanye bila fundi halafu unauliza?
Unadhani atakayekueleza hatakuambukiza ufundi wake?
Nyama ya mbuzi sili ila nakunywa mchuzi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom