tafuta software inaitwa autocard fuata maelekezoWadaunaomba mnijuze ni kwa njia gani naweza kuremove vocal kutoka kwenye wimbo na kubakiwa na beat??? Kama kuna software ni software gani?
mkuu unautahalamu na haya mambo??????????Ni ngumu sn kuremove vocal na kupata beat clear, mara nyingi beat linalobaki huathirika pia. Mi nina uzoefu na maswala haya ya music production kwa zaidi ya miaka8 lkn mpk sasa sijafanikiwa kwenye hilo. Si cubase, sound forge, studio one, fl studio, nuendo, acid wala softiware yoyote ile nilokutana nayo iliyoniwezesha kufanikisha hiyo issue!!!!!! Tuwakaribishe wenye ujuzi zaidi juu ya hili watusaidie...
Wanaotenganisha vocal na beat studio(radio/tv stations) mbn beats zipo clear?Ni ngumu sn kuremove vocal na kupata beat clear, mara nyingi beat linalobaki huathirika pia. Mi nina uzoefu na maswala haya ya music production kwa zaidi ya miaka8 lkn mpk sasa sijafanikiwa kwenye hilo. Si cubase, sound forge, studio one, fl studio, nuendo, acid wala softiware yoyote ile nilokutana nayo iliyoniwezesha kufanikisha hiyo issue!!!!!! Tuwakaribishe wenye ujuzi zaidi juu ya hili watusaidie...
hili nalo neno??????????Wanaotenganisha vocal na beat studio(radio/tv stations) mbn beats zipo clear?
Kitambo kulikuwa na utaratibu wa kupeleka redioni master CD yenye wimbo, bt na btc so beatz nyingi zilikuwa kwny radio stations but sikuhiz ni km utaratibu huo unakufa taratibu hasa ukizingatia kuwa music umekuwa biashara so musicians wanalinda kazi zao kiasi kwamba inakuwa ngumu kutoa beats kizembe...labda kwa ombi maalumu. Mimi pia ni mmoja wa producers ambao tunapokea maombi mengi ya beats za wasanii kutoka kwa radio presenters na djs, nadhani km ingekuwa rahisi kihivyo hawa presenters na djs wasingepoteza muda wao kutuomba hizo beats ambazo nyimbo zake wanazo, wange remove vocal na burudani ikaendelea! Lkn kwakuwa ni ngumu ndomana wanalazimika kuomba tuwatumie beats.Wanaotenganisha vocal na beat studio(radio/tv stations) mbn beats zipo clear?
Autocard mkuu...!! Hauko serious ungemwambia hata audacity!!tafuta software inaitwa autocard fuata maelekezo