Live shooting

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu nahitaji ku shoot video live na kuionesha hapo hapo ukumbini kwa kutumia project nitumie camera gani ambao itatuma data wireless ktk projector nahitaji kushoot na kudisplay event bila nyaya
 
ni kitu cha kawaida au unataka proffesional camera?

kama ni kawaida tu tumia apps za simu zinazofanya simu kama security camera zinatastream live kinachoonekana kwenye camera ya simu.
 
ni kitu cha kawaida au unataka proffesional camera?

kama ni kawaida tu tumia apps za simu zinazofanya simu kama security camera zinatastream live kinachoonekana kwenye camera ya simu.
Mkuu hio professional ikoje mi pia nataka hii kitu
 
Mkuu hio professional ikoje mi pia nataka hii kitu
proffesional namaanisha camera mkuu, camera ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kazi hizo.

Camera_ipad_laptop.jpg
 
Back
Top Bottom