Sony Xperia z2 Vs samsung galaxy A5

William Ngotti

Senior Member
Apr 13, 2015
187
48
Wakuu habari za saiz juzi kuna mzigo wa simu umetumwa toka nje kuna wateja wawili wamezingua mmoja ni Sony Xperia z2 mwingine Samsung Galaxy A5. Kati ya simu zote hizo ipi ni bora nimpe mdogo wangu atumie
 
Naomba unifafanulie mkuu
display- z2 ina full hd wakati a5 ni hd ya kawaida kioo cha z2 ni kizuri zaidi
SOC- z2 inatumia snapdragon 801 wakati a5 ni 410 hivyo z2 ina processor, gpu, modem, wifi nzuri compare na a5
battery- z2 inakaa zaidi na chaji
memory- z2 ina ram kubwa na storage sawa na a5
camera- z2 ina camera nzuri zaidi

kila sehemu z2 ni nzuri, z2 ilikuwa flagship ya mwaka 2014 wakati a5 ni simu ya hali ya chini hadi kati
 
Nimekuelewa kak asante
 
Nashukuru sana chief kwa massa wako kwani bei nzuri kabisa ya note edge inaweza kuwa kiasi gaini? Msaada chief
 
tatizo ya hiz xperia z... hazina camera nzuri bora hata za lumia 535mp kali kinoma kiujumla swala la cera sony kazingua
 
Ok simu ya 5 mega pixel iwe zaidi ya 23 mega pixel. Nipe darasa mkuu maana ya mega pixel na zinapoongezeka nini kinaongezeka kwenye camera?
 
Nashukuru sana chief kwa massa wako kwani bei nzuri kabisa ya note edge inaweza kuwa kiasi gaini? Msaada chief
aab3ef81faf7fb8aaccfcca1aace6b92.jpg
bei hizo apo mkuu kwa maelezo zaidi njoo inbox 0652971495
 
Back
Top Bottom