BabaPrince
Senior Member
- Jan 10, 2016
- 126
- 46
Nilitaka kuinstall App mpya kwenye simu yangu ila kila nikijaribu inaniandikia "insufficient storage" nikajaribu kufuta App moja nikajaribu kuinstall tena ikagoma. Nikafuta nyingine bado ikagoma. Nikafuta App zingine mbili bado inaandika insufficient storage! Ok nikajaribu basi nirudishe zile nilizozifuta cha ajabu tena inaniambia hivyo hivyo! Sijajua tatizo ni nini hapo. Najua humu kuna wataalamu zaidi. Asanteni waungwana. Nawasilisha.