Ndiyo..natamani sana kujifunza kuchora au kubuni animation especially cartons kwa ajili ya magazine hapo mbeleni. Yeyote mwenye ujuzi na haya mambo anipe details na ikiwezekana contacts tujue...
Habari zenu wana jamii forum?
Nina simu ambayo nilitumiwa toka America, inawaka na kufanya shughuli zote za internet kwa kutumia wi-fi ila nashindwa kuitumia kwa mawasiliano kwani inashindikana...
Natumia galaxy j1 ace but nataka kujua maaana ya kuroot simu then kama ntaona inafaida nitairoot na hii Yangu.please wakina Chief mkwawa na wataalamu wengine nitoeni ushamba
habar wadau...
Flash yang ya 16 gb ghafla tu nikiweka kwa pc inanulza kuformat..niki format inagoma...inanambia "insert disc in a drive.."
(haina phyaical damage yyote wala kuloa)
Nina ka pc flan iv nimejaribu kusearch ili ni activate ili niweze kufurahia Internet nimerajibu nimeshindwa je kuna option nyingine ya kuwasha Wi-Fi kwa kutumia keyboard maana ninaona icon...
Rejea kichwa cha habari hapo juu , Tablet yangu internal storage ni 16 GB , Space niliyotumia kuhifadhi data ni 4 GB. Lakini kitu cha kushangazi kila nikifungua data naletewa Ujumbe kuwa "Data...
Wakuu naombeni msaada wa kuweza kupata touch ya simu tajwa hapo juu,nimezunguka kariakoo nimekosa. Je kuna touch ya simu ya aina nyengine inayoweza kuingiliana nayo? maana nashindwa kutumia simu yangu
Mcheza gemu mmoja mwenye miaka 28 kutoka Siberia ameishttaki kampuni ya Bethesda kwa kulifanya gemu lao la Fallout 4 limtawale mpaka apoteze kazi yake na pia mpenzi wake (mke)
Mwanaume huyo...
Natumia tecno J5,mwanzo ilikua iina'connect' internet vizuri,lakini baadae ikaanza kusumbua na kuanza kutoconnect internet vizuri,yaani inaconnect Edge tu.Pia sio internet tu,Bali hata mtandao wa...
wadau leo window yangu ime corrupt sasa nikawa napiga window nyingine kwa kutumia CD kila ikifa asilimia 95 au 93 inagoma kabisa inasema there some file missing contact the vendor pleas msaada...
Jamani anayeelewa jinsi ya kuscreenshot kwakutumiaa galaxy J1 ace anisaidieeee maaana nimejaribu nimeshindwaaa yani Imekua tofauti na nilivyokuaaa nascreenshot kwenye Huawei
Wadau wa JF naomba mnifahamishe,nataka kununua video camera yenye uwezo na ubora wa hali ya juu na ya kisasa, lakini sifahamu ni aina gani nzuri,anayejua tafadhali anijuze nisije nunua ambayo...
Habari wadau wa jukwaa hili,Nina PC aina ya HP.sasa hii PC nlimwazima jamaa Jamaa angu kwa muda wa takriban mwez 1,sasa ilivorudi nimekumbana ma tatizo hili,nikwamba ukiconect na charger inafanya...