jinsi y kufungua simu aina ya LG volt 2

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Habari zenu wana jamii forum?
Nina simu ambayo nilitumiwa toka America, inawaka na kufanya shughuli zote za internet kwa kutumia wi-fi ila nashindwa kuitumia kwa mawasiliano kwani inashindikana kutumia laini za Tanzania. Nimejaribu kuzunguka kwa mafundi kadhaa bila mafanikio.
About Phone: MIN - UNKNOWN
ESN - 802CAC19
MEID HEX - 35833006276818
MEID DEC - 089-778-995-802-582-552
IMEI - 3583300662768188
PRL VERSION - 160
BRAND - BOOST MOBILE
LGLS751 MODEL
Kwa anayeweza kunisaidia kufungua simu hii either kwa kunielekeza jinsi ya kufungua au kunipa mawasilino ya fundi anayeweza kunisaidia, nitashukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom