Kuwasha Wi-Fi kwenye PC

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
516
682
Nina ka pc flan iv nimejaribu kusearch ili ni activate ili niweze kufurahia Internet nimerajibu nimeshindwa je kuna option nyingine ya kuwasha Wi-Fi kwa kutumia keyboard maana ninaona icon ya wireless networks ila sijui kuiwasha msaada wakuu
 
wewe kweli ni mlungo dvs5.taja ni PC ya aina gani.

swissme
 
bro .si unapoona icon ndo waweza tumia wi-fi kikubwa uwe na driver kama simemis utaweza pata acces ya wifi .then ue unatoia na jina la pc
 
Nina ka pc flan iv nimejaribu kusearch ili ni activate ili niweze kufurahia Internet nimerajibu nimeshindwa je kuna option nyingine ya kuwasha Wi-Fi kwa kutumia keyboard maana ninaona icon ya wireless networks ila sijui kuiwasha msaada wakuu
unatumia windows gani
 
Kuna situation huwa zinatupata tunahitaji kutumia wifi kwenye simu na laptop zetu ila tunakuwa katika eneo lisilo na wifi, leo tunajifunza jinsi ya kujitengenezea wifi hotspot zetu binafsi kwa kutumia laptop zetu ili tuweze kushare hio network ya laptop kwenye simu au laptop nyingine,

Hakikisha laptop yako ina support wifiDownload program hapahttp://www.drivethelife.com/free-wifi-hotspot-creator.htmlIntall hio programDone:sasa waeza kutumia wifi kwenye simu yako/ kifaa kingine
 
Wewe pc zote zina wi-fi hardware switch kwa ajili ya kuwasha na kuzima sasa angalia vizuri juu ya keyboard utaona key ina alama ya mawimbi yaliyoning'inia juu ya kialama kwa ufupi ni kama picha ya mti alafu kama inajitegemea bonyrza baada ya muda wifi itafunction kama hiyo wifi switch ipo kwenye fuction key bonyeza control+shift+hiyo function key mambo yanajipa mbali na hapo hatakama uaupdate driver haitafu ction
 
Sawaaaa mkuu . Asantee kwa maelezo ila yan nu kwamba yan iyo alama ninaiona ndioo ila niki Bonyez iyo CNTRL + SHIFT + hiyo function key bado kile ki icon cha Wi-Fi hakiwaki dah
 
Kama ukibonyeza haiwaki... hapo tatizo itakua drivers, either hazijawa installed au zipo out of date
 
Download driver booster then update network driver za pc yako then enjoy
 
Sawaaaa mkuu . Asantee kwa maelezo ila yan nu kwamba yan iyo alama ninaiona ndioo ila niki Bonyez iyo CNTRL + SHIFT + hiyo function key bado kile ki icon cha Wi-Fi hakiwaki dah
Halaf sema ni pc ya aina gani??? Maana nying huwa zinawashwa kwa Fn + hyo function key..... na sio kwa control+shift
 
Kuna situation huwa zinatupata tunahitaji kutumia wifi kwenye simu na laptop zetu ila tunakuwa katika eneo lisilo na wifi, leo tunajifunza jinsi ya kujitengenezea wifi hotspot zetu binafsi kwa kutumia laptop zetu ili tuweze kushare hio network ya laptop kwenye simu au laptop nyingine,

Hakikisha laptop yako ina support wifiDownload program hapahttp://www.drivethelife.com/free-wifi-hotspot-creator.htmlIntall hio programDone:sasa waeza kutumia wifi kwenye simu yako/ kifaa kingine
Asanteee mkuu kwa maujanjaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom