Natafuta screen ya YXTEL M700 (tablet)

dume30

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
546
525
Wakuu naombeni msaada wa kuweza kupata touch ya simu tajwa hapo juu,nimezunguka kariakoo nimekosa. Je kuna touch ya simu ya aina nyengine inayoweza kuingiliana nayo? maana nashindwa kutumia simu yangu
 
Back
Top Bottom