Msaada kila nikifungua DATA kwenye tablet kuna ujumbe naletewa

ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,290
2,219
Rejea kichwa cha habari hapo juu , Tablet yangu internal storage ni 16 GB , Space niliyotumia kuhifadhi data ni 4 GB. Lakini kitu cha kushangazi kila nikifungua data naletewa Ujumbe kuwa "Data usage warning" touch to view usage and setting.
kwa MTU mwenye utaalamu na ujuzi naomba anisaidie kutatua tatizo hili. Natanguliza shukrani zangu
 
Ulete mrejesho...!
Ndugu iko poa sasa, mwanzo warning ilikuwa 2 GB, kwa hiyo nimepandisha mpka 8 GB na ule Ujumbe umejiondoa. Ngoja unisaidie kitu inaweza kutokea hata kwa miaka 2 au zaidi ijayo limit inaonyesha ni 9.6 GB endapo ikijaa mpka kwenye huu mstari nifanyaje
 
itabidi uongeze tena hadi 20GB itachukua mda kufikia.
 
Back
Top Bottom