Napenda kujuzwa tofauti kati ya CMS&WCMS

hero7

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
222
70
Brb!nilipenda hua tofauti Kati ya CMS na WCMS na zinafanyaje kazi .
 
mi nazani hazina utofauti coz hap kilicho ongezeka ni W : ambayo Web content management system na iyo nyingine ni Content management system. Zote zinafanya kazi moja ya kumfanya mtu asie jua au mwenye ujuzi kidogo wa ku kodi aweze kutengeneza website na ku manage contents zake kiulaisi.
 
ni lazima kutumia cms kwenye website either dynamic o static
 
kama utaki kuchoshwa na kodi. au uludiwaji wa kodi kila mala ni lazima / kama unataka kuludia ludia kuandia <div>s na ku style kila mala si lazima.
 
Bila shaka hata hii huwa unaandika hivi

HTML:
<sclipt type="text/javasclipt"></sclipt>
 
kama utaki kuchoshwa na kodi. au uludiwaji wa kodi kila mala ni lazima / kama unataka kuludia ludia kuandia <div>s na ku style kila mala si lazima.
Boss kodi ulimaanisha ya Uncle Magu? Jokes aside ulimaanisha simba?

kama hutaki kuchoshwa na simba au urudiwaji wa simba kila mara ni lazima / kama unataka kurudia rudia kuandia <div> na kuremba kila mara si lazima.

Sweet language!
 
Hapana nilimaanisha codes
 
Back
Top Bottom