Msaada APN za halotel Internet

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,427
1,581
Nimenunua laini mpya ya halotel nimefika nyumbani Internet haiendi nimegundua kwamba sehemu ya kujaza APN ipo wazi. Naomba mnisaidie jinsi ya kujaza.
 
Apn name andika Halotel wap

Chini baada ya Name jaza internet ...kisha Save...restart Simu ..basi
 
We andika tu internet apo kweye APN usisahau juu kwenye server name alafu kaangalie APN type weka default,mms kisha save kwisha kazi
 
Back
Top Bottom