The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,025
- 1,173
wadau leo window yangu ime corrupt sasa nikawa napiga window nyingine kwa kutumia CD kila ikifa asilimia 95 au 93 inagoma kabisa inasema there some file missing contact the vendor pleas msaada kwa anaefahamu nimejaribu window 2 zoote zimegoma naomba msaada kwa anaelewa nini tatizo