Alkelokas
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 203
- 102
Habari wadau wa jukwaa hili,Nina PC aina ya HP.sasa hii PC nlimwazima jamaa Jamaa angu kwa muda wa takriban mwez 1,sasa ilivorudi nimekumbana ma tatizo hili,nikwamba ukiconect na charger inafanya kaz vzur,ukichomoa chaja mwanga kwny display unakuwa hafifu sana tena upo upande wa kulia tu.lakn inafunction vzur tu isipokuwa mwanga.jaman naombeni ushauri wenu wenye ufaham na hili.ahsanteni.