Nitoeni shaman jamani natumia galaxy

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Natumia galaxy j1 ace but nataka kujua maaana ya kuroot simu then kama ntaona inafaida nitairoot na hii Yangu.please wakina Chief mkwawa na wataalamu wengine nitoeni ushamba
 
usiroot simu yako as a fashion, unatakiwa kuwa na sababu ya msingi kufanya hivyo na kujua nini unafanya.....ni ushauri wa bure tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom