resolution ni kioo hata ueke driver gani kama display ya kifaa chako ni 1366x768 haitaongezeka.
ulifikiria nini hadi ukapata wazo hilo?[/QUOTEJ
Hii pc kabla ya jana sijaiformat resolution yake ilikuwa zaidi ya hiyo....kitu kama 1366x1080....so nikaweka win8 mpya now haitaki kuwa kwenye hiyo resolution tena