Ni nini tatizo LA hii simu???

Humilis

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
887
1,066
Natumia tecno J5,mwanzo ilikua iina'connect' internet vizuri,lakini baadae ikaanza kusumbua na kuanza kutoconnect internet vizuri,yaani inaconnect Edge tu.Pia sio internet tu,Bali hata mtandao wa kawaida,Mara inaswitch off sim card,Mara inaswitch on..nimejaribu kurekebisha settings kwa kila namna lakini imeshindikana.

Naombeni msaada,ni nini hasa tatizo la simu hii??
 
Nenda kwenye maduka ya tecno watakusaidia ili mradi hujawai kuipeleka kwa fundi na kufunguliwa
 
Nenda kwenye maduka ya tecno watakusaidia ili mradi hujawai kuipeleka kwa fundi na kufunguliwa

Sijawahi kuifungua wala haijawahi tengenezwa,ahsante mkuu...hayo maduka yapo wapi kwa hapa Dar??
 
Oooh alafu ndo nyie mnakuja hapa mnafananisha tecno na Iphone subiri ww tulia tu itajipiga simu ya mchepuko wakati uko na some one special tupa kule hiyo tecno
 
Back
Top Bottom