Mwenye ujuzi na animations tafadhali, naomba tuwasiliane

Mwenye ujuzi na animations tafadhali, naomba tuwasiliane

abrhms

Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
15
Reaction score
18
Ndiyo..natamani sana kujifunza kuchora au kubuni animation especially cartons kwa ajili ya magazine hapo mbeleni. Yeyote mwenye ujuzi na haya mambo anipe details na ikiwezekana contacts tujue tutaenenda vipi..
 
Wabongo bana! sasa na vyuo vya computer vina kazi gani?
 
Wabongo bana! sasa na vyuo vya computer vina kazi gani?

Ndugu majukumu mengi..ujuzi mwingine sio lazima kuingia darasani as long as nina passions na hicho kitu. Nina imani naweza kujifunza.
 
Wewe acha uvivu kusubiri watu wakulishe mi nimeanza mwenyewe na nina kiwango kizuri naendelea kupiga vitu hapa tafuta tutorial alafu sijui unazumzia animation au michoro ya magazetini ni vitu tofauti
 
Back
Top Bottom