Nipeni ujuzi kabla sijaenda kununua video camera ya kisasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni ujuzi kabla sijaenda kununua video camera ya kisasa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Maarko, May 22, 2012.

 1. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wadau wa JF naomba mnifahamishe,nataka kununua video camera yenye uwezo na ubora wa hali ya juu na ya kisasa, lakini sifahamu ni aina gani nzuri,anayejua tafadhali anijuze nisije nunua ambayo siyo. Asanteni
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  we una bei gani???
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ameongea ubora, mpe mambo yenye ubor, hajasema hela hana.
  Mkuu, biashara hujui??
   
 4. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2016
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,008
  Trophy Points: 280
  mkuu ulifanikiwa kupata camera
   
Loading...