App ya kutrace location ya MTU alipo na simu!!

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,643
Kuna mpenzi Wangu amekuwa mwongo mwongo huwahataki kuniambia kaenda wapi!!au ananidanganya alipo
EB nisaidien kama kuna program ya Kutrace location ya MTU aliye na sm alipo
Nimeptapta play store siioni inayoeleweka?
 
Kitu rahisi. 1Aina ya simu, 2Hiyo app, 3Settings za simu yako na yake. Lakini kwanini mfikie hatua hiyo wakati unadai ni mpenzi wako? Mpende akupendae asiekupenda achana nae.
 
Lazima uwe na smartphone na uwe na uwezo wa kukaa nayo kwa mda hata dakika 20-30 kuna app ambayo uta store kwenye cm yake.
 
Kitu rahisi. 1Aina ya simu, 2Hiyo app, 3Settings za simu yako na yake. Lakini kwanini mfikie hatua hiyo wakati unadai ni mpenzi wako? Mpende akupendae asiekupenda achana nae.
Sio kitu rahis aisee
 
cerberus but unaweka kwenye cm yake na una hide the app.....valid for 5dayz or unalipia.

unatrack kila kitu kwenye cm yake information will be sent to you E-mail
 
Kuna mpenzi Wangu amekuwa mwongo mwongo huwahataki kuniambia kaenda wapi!!au ananidanganya alipo
EB nisaidien kama kuna program ya Kutrace location ya MTU aliye na sm alipo
Nimeptapta play store siioni inayoeleweka?
Kama amekuwa mwongo mwongo au hataki kukuambia kaenda wapi na ananidanganya alipo huo uhusiano ushafeli,unweza fanya hivi;-mpotezee jifanye huna haja nae chochote anachotaka kufanya afanye,labda itasaidia.Kumuuliza uliza yuko wapi na kumganda ganda mtakuwa mnagombana sana urafiki na uhusiano vitakufa .Au km vp achana nae sepa! Kum track na unacotaka fanya unaji-streeeeeeeeeess bure hakna app
 
Back
Top Bottom