Jinsi ya Kudownload Call of Duty kwenye Android

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
Kwa wapenzi wa Games .

Naomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza para hilo Game .

Nimejaribu angalia youtube kuoata maelezo sijaelewa kabisa.

Please kwa anaejua .

Pia NBA 15 or 16 even 14.
 
Ingia kwenye uc mini alafu download kama apk alafu watakuapa na data alafu download app inayoitwa rar ukishadownload ile data file utali archive kwenye app ya rar alafu utainstall game lako ukifungua litafunguka kama kawa
 
Kwa wapenzi wa Games .

Naomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza para hilo Game .

Nimejaribu angalia youtube kuoata maelezo sijaelewa kabisa.

Please kwa anaejua .

Pia NBA 15 or 16 even 14.
[http://dl1.revdownload.com/s1/2015/1501/NBA_2K15_v1.0_www.RevDl.com_.rar]

Download hapo NBA 2K 15.. Ukisha download.. Ni rar file..
Extract it (tumia es file Explorer)

Ukisha extract ndani utakuta folders mbili..
Moja ni apk la pili ni com.nba2k......

Sasa install hiyo apk (bt don't open)

Then hilo lenye com.nba......
LiCopy or move.

Kwenye file file manager kuna folder limeandikwa Android (phone memory)
Ukiingia hapo android utaona folder limeandikwa obb..
Kama hilo obb halipo basi litengeneze andika hivo hivo obb..
Ukisha fanya hivo.. Licopy/move lile
Com.nba...... Liweke inside of obb
Baada ya hapo ur done....
 
Back
Top Bottom